Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rosa Ree, Chemical na Fridah amani kutifuana Tuzo ya Mwanamuziki Bora wa Kike (Hip Hop)

Ross Ree Chemical Fridah.jpeg Rosa Ree, Chemical na Fridah amani kutifuana Tuzo ya Mwanamuziki Bora wa Kike (Hip Hop)

Sun, 20 Mar 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya miaka mingi ya kukosekana Tuzo za muziki nchini Tanzania Serikali kupitia Baraza la Sanaa Tanzania ilitangaza kuzirejesha Tuzo hizo mwaka huu na kwamba sasa zitaendeshwa na Serikali.

BASATA imetangaza list ya Wasanii wanaowania Tuzo hizo ambapo miongoni mwa Vipengele vilivyopo ni hiki cha Mwanamuziki bora wa kike wa Hip Hop ambapo wanaoshindanishwa ni Frida Amani, Rosa Ree, Chemical, Liss la Mode, Zuhura Lolo the Prince

Kura yako unampa nani kati ya hawa?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live