Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Romy Jons kufungua mwaka 2018 na kitu kipya chini ya WCB (Video)

Sat, 23 Dec 2017 Chanzo: bongo5.com

DJ wa Diamond Platnumz kutoka WCB, Romy Jons aka RJ DJ amefunguka kwa kusema kuwa tayari ameanza kutengeneza brand yake mpya ya U-DJ ambayo itasimamiwa na WCB. DJ huyo amedai atakuwa anaandaa project mbalimbali za kuwashirikisha wasanii wa kimataifa.

Chanzo: bongo5.com