Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Roma kustaafu muziki akiwa na miaka 40

Roma Mtoto Roma kustaafu muziki akiwa na miaka 40

Wed, 10 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa Hip Hop Bongo,Roma Mkatoliki amesema kuwa ana mpango wa kustaafu muziki pindi tu atakapofikisha umri wa miaka 40.

Msanii wa Hip Hop Bongo,Roma Mkatoliki amesema kuwa ana mpango wa kustaafu muziki pindi tu atakapofikisha umri wa miaka 40. Roma ambaye anaishi nchini Marekani takribani miaka mitano sasa, alizaliwa mwaka 1989, hivyo sasa ana umri wa miaka 34.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live