Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Roma amekuwa mchambaji-Mnazaleti

Roma Amekuwa Mchambaji Mnazaleti Roma amekuwa mchambaji-Mnazaleti

Wed, 22 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Suma Mnazaleti anadai kuwa kauli aliyoitoa Roma Mkatoliki kwa wasanii wenzake yeye anaona kama Roma amepagawa na maisha ya huko anapoishi akimaanisha Marekani.

Roma aliwaonya wasanii ambao wakirudi kwenye game wanasema wamekuja kuichangamsha game baada ya kuona imepoa sana.

Suma Mnazaleti anasema kwa upande wake anaona Roma amekuwa mchambaji mitandaoni anaona bora apewe page ya udaku.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live