Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Roma: Wimbo wa SHU wa Diamond unapigwa sana Marekani

Roma: Wimbo Wa SHU Wa Diamond Unapigwa Sana Marekani Roma: Wimbo wa SHU wa Diamond unapigwa sana Marekani

Mon, 23 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kwa mujibu wa Roma, wimbo wa Diamondplatnumz "SHU" unapigwa sana jijini Washington DC-Marekani.

Kwa mujibu wa Roma, wimbo wa Diamondplatnumz "SHU" unapigwa sana jijini Washington DC-Marekani. Roma ametusanua hilo kupitia Instastory yake, ambapo ameandika hivi; "Kibane baaaaaaaane mwisho kiliwe na Nyerere...huu muwa unaliwa sana DC Club nyingi."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live