Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Roma: Wanandoa wengi wanaishi ila walishaachana

Roma: Wanandoa Wengi Wanaishi Ila Walishaachana Roma: Wanandoa wengi wanaishi ila walishaachana

Tue, 17 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa wa Hip Hop Ibrahim Mussa ‘Roma’ amesema, wanandoa wengi wanaishi tu kulea watoto lakini ndoa zao zimeshavunjika.

Roma amefananisha jambo hilo na mastaa wa Marekani, Jada na Will Smith ambao wanaishi maisha hayo.

"Hata huku mitaani tunao wakina Jada& Smith wengi tu tunaishi nao! Couples kibao zime-divorce kimyakimya, watu wanalea watoto tu sasa hivi, public mnawaona pamoko ila ndichi kwa nyumba kila mtu ana bed yake na room yake."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live