Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Roma Mkatoliki: Marapa wa sasa hawawezi kuandika Verse 3

Mkatoliki Roma Roma Mkatoliki

Tue, 16 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

“Nowdays Rappers wengi hawawezi kuandika verse 3. Excuse yao ni kuwa Radio hazitaki nyimbo ndefu but ukweli ni ngumu kwao kupata Lines (16*3) 48 Bars na kusimama kwenye Topic”.

“Zamani ma-brother walikuwa wanachora verse 3 na kila Verse wanapitiliza 16 Bars, unakuta verse moko linatoboa mpaka 32 huko”.

“Zali la Mentali Ya Prof verse ya kwanza ina kama 36 hivi au 40 na bado mtoto Viki ndo kwaanzaaa anaanza kumtongoza Ka’ Mkubwa” - @Roma_Mkatoliki

Ni kweli rapa wa sasa hawawezi kuandika Verse 3?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live