Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Robbie Coltare afariki dunia

Actor Harry P Muigizaji Robbie Coltrane

Sat, 15 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Muigizaji Robbie Coltrane, ambaye aliigiza kama Hagrid katika filamu za Harry Potter, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 72. Muigizaji huyo wa Uskoti pia aliigiza katika tamthilia ya upelelezi ya TV Cracker na filamu ya James Bond.

Muigizaji Robbie Coltrane, ambaye aliigiza kama Hagrid katika filamu za Harry Potter, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 72. Muigizaji huyo wa Uskoti pia aliigiza katika tamthilia ya upelelezi ya TV Cracker na filamu ya James Bond. Taarifa za kifo chake zimetolewa Jana Oktoba 14, 2022.  

Chanzo: www.tanzaniaweb.live