Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rihanna na ASAP wapata mtoto wa pili

Rihanna Na ASAP Rihanna na ASAP wapata mtoto wa pili

Tue, 22 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Tovuti ya TMZ wameripoti kuwa, wasanii Rihanna na mpenzi wake Asap Rocky wamepata mtoto wa pili August 3, 2023 huko California-Marekani.

TMZ wameeleza kuwa jina la mtoto linaanzia na herufi 'R' ambapo bado hawajanasa kirefu cha jina hilo lakini ni mtoto wa kiume.

Mtoto wao wa kwanza naye ni wa kiume na anakwenda kwa jina la RZA Athelston Mayers.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live