Mastaa wawili wanao-make headlines kila kukicha katika ulimwengu wa burudani kwa sasa kutokana na penzi lao kunoga ile mbaya, Rihanna na Asap Rocky, wamefunika tena katika maonesho ya mavazi ya Gucci Show.
Mastaa wawili wanao-make headlines kila kukicha katika ulimwengu wa burudani kwa sasa kutokana na penzi lao kunoga ile mbaya, Rihanna na Asap Rocky, wamefunika tena katika maonesho ya mavazi ya Gucci Show. Wawili hao wametinga katika maonesho hayo yaliyofanyika Los Angeles nchini Marekani, wakiwa wamepigilia pamba kali kuanzia chini mpaka juu zote zikiwa ni kutoka katika lebo kubwa ya mavazi ya Gucci.