Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rihanna kuachia Albamu ya 9 Mwaka huu

Bad Girl Riri Rihanna

Thu, 16 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rihanna haoni kama kuna sababu yoyote ambayo itamfanya asiachie Album yake ya 9 mwaka huu.

Rihanna haoni kama kuna sababu yoyote ambayo itamfanya asiachie Album yake ya 9 mwaka huu. Kwenye mahojiano EXCLUSIVE na Jarida la Vogue Riri amekaririwa akisema ”Kiukweli kabisa, itakuwa miyeyusho kama haitakuwa mwaka huu. Lakini nataka kuburudika. Nataka kutengeneza Muziki na kufanya video.” amesema Riri.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live