Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rihanna katika tuzo za Oscar 2023 (Pichaz)

Rihanna Sds Rihanna katika tuzo za Oscar 2023

Mon, 13 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwimbaji wa Marekani, Rihanna usiku wa kuamkia leo ametumbuiza katika hafla ya utoaji wa tuzo za Oscar.



Rihanna ambaye ni mjamzito, ametumbuiza wimbo wake, Lift Me Up ambao miongoni mwa wasanii waliouandika ni Tems wa Nigeria.

Katika backstage Rihanna alikuwa na mpenzi wake na Baba mtoto wake, ASAP Rocky.



Utakumbuka Rihanna na ASAP Rocky wanatarajia mtoto wao wa pili ikiwa ni miezi nane tu tangu Staa huyo kujifungua mtoto wake wa kwanza.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live