Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rihanna atua nchini Senegal

2668 Rihanna Macronemmanuel Gettyimages 2318 TZW

Wed, 7 Feb 2018 Chanzo: bongo5.com

Muimbaji wa muziki Rihanna ameungana na Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron kuboresha elimu katika mataifa yanayoendelea.



Wawili hao wamekutana nchini Senegal wiki hii katika mkutano wa Global Partnership for Education, mkusanyiko ambao ulihusisha rais wa Benki ya Dunia Jim Yong Kim na viongozi wa mataifa kadhaa ya Kiafrika.

kulingana na ABC News, Rihanna allienda nchini huko  kwa niaba ya msingi wa Clara Lionel  ambayo inafanya kazi katika mataifa maskini ya kutoa huduma za afya na programu za kielimu.

Chanzo: bongo5.com