Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rihanna ajifungua kidume

Rihanna Asap Rocky Rihanna na A$AP

Thu, 19 May 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa mkubwa duniani, Rihanna hatimaye amejifungua salama mtoto wa kiume aliyezaa na mpenzi wake, A$AP Rocky.

Staa mkubwa duniani, Rihanna hatimaye amejifungua salama mtoto wa kiume aliyezaa na mpenzi wake, A$AP Rocky. Mtandao mkubwa wa habari za mastaa wa TMZ, umeripoti kwamba mwanadada huyo alijifungua Mei 13, mwaka huu jijini los Angeles, Marekani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live