Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rihanna agonga miaka 36 nz rekodi hizi

Rihanna Mtoto Rihanna agonga miaka 36 nz rekodi hizi

Tue, 20 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Supastaa wa muziki Duniani, bilionea na Hitmaker wa nyimbo mbalimbali Robyn Rihanna Fenty maarufu kama Badgirl Riri leo hii ametimiza umri wa miaka 36.

"Star" huyu anasherekea mafanikio makubwa ya ngoma zake kufanya vizuri na kujizolea watazamaji wengi duniani kote, Hizi ni baadhi ya nyimbo zake zenye watazamaji wengi pale mjini Youtube;

1. Diamonds - 2.2 billion views

2. Work - 1.3 billion views

3. Stay - 1.1 billion views

4. We found love - 1.1 billion views

5. What's my name - 1 billion views

6. Umbrella - 1 billion views

Je, Ngoma gani ya Rihanna unayoikubali zaidi?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live