Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rihanna: Nitazaa kadri Mungu atakavyonibariki

Rihanna Asap Kids Pics 091923 6 4f8e899a9de149e491d529fe47239010 Rihanna, Asap Rocky na watoto wao

Tue, 16 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kama hii ilikupita, Rihanna alifanya mahojiano na Jarida la Interview ambapo mahojiano yalitoka wiki iliyopita na humo ndani amezungumza mambo mengi ikiwemo la yeye kuongeza watoto.

Riri mwenye watoto wawili pamoja na A$AP Rocky amesema, atajaribu kama atafanikiwa kupata mtoto wa Kike maana uzao wake hadi sasa ni watoto wa Kiume.

Alipoulizwa anataka kuwa na watoto wangapi? Riri alisema, kadri ambavyo Mungu atamjalia basi yeye atawaleta tu duniani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live