Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rihanna, Asap Rocky hawajaachana

Rihanna Asap Rocky Rihanna na Asap Rocky

Fri, 15 Apr 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Taarifa za Rihanna na A$AP Rocky kuachana hazina ukweli wowote, asilimia 100 ni uwongo mtupu “100% false on both counts, 1 million percent not true. They're fine.” Mtu wa karibu na wawili hao ameuthibitishia mtandao wa TMZ. Chanzo hicho kimesema stori za A$AP Rocky kumsaliti Rihanna na zile za kuachana hazina ukweli kwani wapenzi hao wako vizuri.

Taarifa za Rihanna na A$AP Rocky kuachana hazina ukweli wowote, asilimia 100 ni uwongo mtupu “100% false on both counts, 1 million percent not true. They're fine.” Mtu wa karibu na wawili hao ameuthibitishia mtandao wa TMZ. Chanzo hicho kimesema stori za A$AP Rocky kumsaliti Rihanna na zile za kuachana hazina ukweli kwani wapenzi hao wako vizuri. Mapema leo ziliibuka stori hizo kupitia twitter na kusambaa kwenye mitandao yote duniani kwamba Riri ambaye ni mjamzito, ameachana na rapa #AsapRocky mara baada ya kugundua kuwa anamsaliti kwa kutoka kimapenzi na mrembo mbunifu wa viatu aitwaye Amina Muaddi

Chanzo: www.tanzaniaweb.live