Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rick Ross na Mobetto wathibitisha kuwa kwenye mahusiano

Mobetto Rick Ross.jpeg Rick Ross na Mobetto

Thu, 26 May 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Hatimaye baada ya muda mrefu wa zile tetesi Kwamba @Hamisamobetto anatoka na mkali wa Rap kutoka huko nchini Marekani @richforever basi Leo jibu rasmi la maswali hayo limepatikana.

Wakati walipokuwa wote instagram live mwanadada @Hamisamobetto aliulizwa swali na shabiki yake kama ana mahusiano ya kimapenzi na @richforever

Mwanadada naye akaona isiwe tabu akaachia swali Hilo ajibu @richforever ambaye naye kwa ufupi saana alise "Yes she is mine " Akimaamisha kwamba ndio huyu ni wangu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live