Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rick Ross na Meek Mill waachia tracklist ya albamu yao

Rick Ross Na Meek Mill Waachia Tracklist Ya Albamu Yao Rick Ross na Meek Mill waachia tracklist ya albamu yao

Thu, 9 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wanamuziki kutoka nchini Marekani, RickRoss na Meek Mill wameachia Tracklist ya Albamu yao ya pamoja 'Too Good to Be True' ambayo itatoka rasmi Ijumaa, Novemba 10 mwaka huu.

Jumla ya nyimbo 17 zitapatikana humo huku Future, DJ Khaled, Teyana Taylor, Jeremih, Vory, The-Dream, Fabolous, French Montana, Wale na wengine wakiwa wameshirikishwa.

Ikumbukwe kuwa albamu hiyo itakuwa ya kwanza kwa wasanii hao tangu mwaka 2021, kwani Meek albamu yake ya mwisho ilikuwa ‘Expensive Pain’ iliyotoka mwezi Oktoba 2021 na ikafuata ya Ross Ross ‘Richer Than I Ever Been’ mwezi Desemba 2021.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live