Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rick Ross haweza kusahau hili kwa Nick Minaj

Ross X Nick Minaj Rick Ross haweza kusahau hili kwa Nick Minaj

Wed, 16 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kuna matukio mengi ambayo Rick Ross hawezi kuyasahau kwenye Hip Hop lakini hili la Nicki Minaj kuandika na kuingiza verse yake kwenye wimbo wa Kanye West “Monster” mwaka 2010 ni tukio kubwa kwenye Hip Hop kwa upande wake.

Kuna matukio mengi ambayo Rick Ross hawezi kuyasahau kwenye Hip Hop lakini hili la Nicki Minaj kuandika na kuingiza verse yake kwenye wimbo wa Kanye West “Monster” mwaka 2010 ni tukio kubwa kwenye Hip Hop kwa upande wake. “Mimi kuwa studio na kushuhudia ‘reaction’ ya kila mmoja, nilikuwa mwenye furaha sana, nilikuwepo kushuhudia hilo tukio la kipekee kwenye Hip Hop.” amekaririwa Rick Ross.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live