Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rick Ross awashauri maprodyuza kumuiga Dr Dre

RICK ROSS Rick Ross awashauri maprodyuza kumuiga Dr Dre

Fri, 14 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rapa Rick Ross amewashauri maprodyuza kuiga mfano wa Prodyuza mkongwe Dr Dre kwenye kutulia na kazi moja kwa muda mrefu.

Rapa Rick Ross amewashauri maprodyuza kuiga mfano wa Prodyuza mkongwe Dr Dre kwenye kutulia na kazi moja kwa muda mrefu. Rick Ross amesema prodyuza Dr Dre alitumia muda wa mwezi mmoja kuedit maneno mawili tu kwenye beat alilokuwa ametengeneza.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live