Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rick Ross awafurahisha wanaoishi pamoja na bibi yake

Rick Ross Awafurahisha Wanaoishi Pamoja Na Bibi Yake Rick Ross awafurahisha wanaoishi pamoja na bibi yake

Thu, 23 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Katika sikukuu ya ‘Thanks Giving’ inayofanyika kila mwaka Novemba 23, nchini Marekani, Rick Ross ameitumia kwa kutoa misaada kwa jamii.

Rick Ross ameenda kumtembelea bibi yake na kuungana na familia yake kwa lengo la kupata chakula na kutoa misaada kwa familia zilizopo katika mtaa anapoishi bibi na babu yake.

Si Rick tu pia msanii Quavo naye ameitumia siku hii kwa kutoa misaada kwa familia 300.

View this post on Instagram

A post shared by Mwananchi Scoop (@mwananchiscoop)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live