Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rick Ross atofautiana mtizamo na Jay Z

Rick Ross And JAY Z 696x442 Rick Ross atofautiana mtizamo na Jay Z

Tue, 24 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya Jay Z kuwashauri watu kuchagua pesa kuliko kuonana na yeye, kwa upande wa ‘rapa’ kutoka Marekani, Rick Ross imekuwa tofauti kwake ameeleza ni bora kupata chakula cha jioni na Jay utapata maarifa zaidi.

Kufuatia video yake alioi-share katika Instagram yake ‘rapa’ huyo ameeleza kuwa yeye atachagua kupata chakula cha usiku na Jay Z kuliko kuchukua Billion 1.

Rick ameeleza sababu ya kuchagua kupata chakula na rapa huyo ni kuwa mwaka 2008 JayZ alimpa ushauri na kumsaidia kupiga hatua nyingine kubwa katika uandishi wa nyimbo zake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live