Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rick Ross ataja Kolabo yake Bora na Drake

Rick Ross X Drake Rick Ross ataja Kolabo yake Bora na Drake

Tue, 9 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rapa Rick Ross ameitaja Kolabo yake bora zaidi kuwahi kufanya na Drake. Kwenye mahojiano yake na Adin Ross, Rick Ross aliitaja ngoma ya ‘Stay Schemin’ ndio Kolabo kali zaidi ambayo wamewahi kufanya.

Rozay ameitaja ngoma hiyo kwa kuanika sababu wazi kuwa, Drake alikuwa bado mpya kabisa, akitokea mtaani na kuja moja kwa moja kwenye game na kukaa kwenye ngoma hiyo ambayo ilitoka mwaka 2012.

Ni Kolabo ipi bora toka kwa Rick Ross na Drake?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live