Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rick Ross amtolea povu Jada Smith

Rick Ross Amtolea Povu Jada Smith Rick Ross amtolea povu Jada Smith

Fri, 10 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

‘Rapa’ kutoka nchini #Marekani, #RickRoss amedai kuwa amechoshwa na muigizaji #JadaSmith kutokana na kufichua maisha yake binafsi huku akimtaka mrembo huyo kutafuta mwanasaikolijia.

Kufuatia mahojiano yake ya hivi karibuni na #RollingStone, #Ross ameeleza kuwa hakubaliani na #Jada, kwake anaona kama ni kujidhalilisha, akidai kuwa saikolojia ya mwanadada huyo haiko sawa anahitaji matibabu.

#JadaSmith alishika vichwa vya habari nchini humo baada ya kufichua siri ya kuachana na mumewe #WillSmith miaka 6 iliyopita.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live