Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rick Ross amtaja Burna Boy msanii bora Afrika

Images 5 2.jpeg Rick Ross amtaja Burna Boy msanii bora Afrika

Mon, 4 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rapa wa Marekani, Rick Ross amemtaja msanii wa Nigeria, Burna Boy kuwa msanii bora wa Afrika wa muda wote.

Rapa wa Marekani, Rick Ross amemtaja msanii wa Nigeria, Burna Boy kuwa msanii bora wa Afrika wa muda wote. Akiongea live kwenye ukurasa wa Instagram wa rapa wa Afrika Kusini, Nasty C, Rick Ross alimtaja Burna Boy kama nambari moja katika orodha yake ya wasanii bora wa muda wote wa Afrika na namba mbili akimpa Akon.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live