Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rick Ross afuta picha zote za Diamond Platnumz kuna nini??

2010 Screen Shot 2018 01 26 At 2.32.27 PM 660x400.png

Sun, 28 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Staa wa muziki kutokea nchini Marekani Rick Ross leo January 26,2018 amechukua headlines katika mitandao ya kijamii baada ya kujulikana kafuta picha zote za Diamond Platnumz katika ukurasa wake wa Instagram.



Rick Ross amewahi kumpost mara mbili Diamond Platnumz kupitia ukurasa wake wa instagram, post zote zikihusiana na ishu ya ubalozi wa kinywaji cha Belaire mwezi September 2017.



 

 

Maswali yamezidi kuwa mengi kutoka kwa mashabiki baada ya Rick Ross kutofuta picha za kinywaji cha Belaire na kuacha picha ya Huddah Monroe ambaye pia ni balozi wa kinywaji hicho kutokea nchini Kenya lakini post za Diamond pekee ndio amefuta

Nini kinaendelea kati ya Diamond na Rick Ross? ikumbukwe tu Rick Ross na Diamond Platnumz wameshafanya kazi pamoja katika wimbo wa Waka Waka ambao ulifanyika nchini Marekani.

“Usijifanye jini kujua, wakati una silaha za nguvu za giza”-Ruby

Chanzo: millardayo.com