Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rick Ross aanza kukatiza mtaani

4560 1 1.png TZW

Mon, 12 Mar 2018 Chanzo: bongo5.com

Ni siku chache tokea aruhusiwe hopsitali baada ya kulazwa kutokana na tatizio la kukosa nguvu na kushindwa kupumua, kwa sasa hali ya msanii huyo inazidi kuimarika huku akitumia nafasi yake y kupumzika kufanya manunuzi.



Rozzy ameonekana katika mji wa Miami, ijumaa ya wiki hii akiwa na famia yake ambao ni motto wake wa kike Berkley, mama yake Toie Roberts, na mpezi wake Briana Camille katika duka moja mjini humo wakifanya manunuzi.

Katika picha zilionashwa na mapaparazi zilimumonyesha rapper huyo aliyeazwa Hospitalini kwa siku nne akiwa amembeba motto wake na akiwa karibu na baby mama wake.





Chanzo: bongo5.com