Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rich Mavoko kaja na hili jipya tena

Mavoko We Rich Mavoko

Sun, 25 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kimya cha muda mrefu, hatimaye Rich Mavoko wa "ibaki stori" karudi tena na wimbo mpya uitwao "MISS YOU".

Kimya cha Mavoko kilianza alipotangaza kutoka kwenye Lebo ya Diamond Plutnumz, WCB na hali ilizidi kuwa tete mpaka ikasemekana kuwa Mavoko alikuwa akifanya show ndogo ndogo vijijini, yaani kiufupi Rich amekuwa na wakati mgumu sana kwenye maisha yake ya muziki.

Wengine walisema sababu kubwa ya Rich Mavoko kutosikika tena kwenye muziki ni kutoruhusiwa kuongea kwenye interviews na Media au kufanya kazi zingine za kisanii ila kwa sasa ni kama kuna mwanzo mpya.

Ni kitu gani kilikuwa kinakosekana wakati huu wote Mavoko hakuwa kwenye Industry?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live