Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rema atuhumiwa kujihusisha na imani za kishetani

Rema Rema atuhumiwa kujihusisha na imani za kishetani

Fri, 3 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii Rema kutoka nchini Nigeria amekutana na tuhuma za mashabiki kwenye mitandao ya kijamii wakimtuhumu kujihusisha na imani za kishetani.

Hii ni baada ya kuachia Video clip ya wimbo wake mpya wa smooth Criminal ambao upo kwenye Ep yake Mpya ya Ravage inayo tarajiwa kutoka leo Ijumaa.

Mashabiki wamemjia juu Rema baada ya clip hiyo kuonesha matukio yanayohusisha na imani za kishetani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live