Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rema atamba chati za Billboard Marekani

Rema Calm Down Rema atamba chati za Billboard Marekani

Wed, 10 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki kutoka Nigeria Rema azidi kufanya makubwa kwenye muziki wake na kuendelea kuupaisha muziki wao wa Afrobeat kupitia 'Calm Down Remix'' akiwa na Selena Gomez.

Nyimbo hio imeshika nafasi ya 5 wiki hii kwenye chati za Billboard Hot 100 Marekani.

Wimbo huo umefikia rekodi ya wimbo wa ''Essence Remix'' wa Wizkid, Tems na Justine Bieber kwa kukaa muda mrefu katika chati za Billboard Hot 100, kwa wiki 35.

Je kibongo bongo unamuona msanii gani kuyafikia mafanikio haya ?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live