Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rema ammwagia maua yake Burna Boy

Rema Na Burna Rema ammwagia maua yake Burna Boy

Mon, 5 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya Burna Boy kufanikisha kuujaza uwanja wa London Stadium Uingereza wenye uwezo wa kuingiza watu 80,000 na kufanya Show ya hadhi ya Juu usiku wa kuamkia leo.

Baada ya Burna Boy kufanikisha kuujaza uwanja wa London Stadium Uingereza wenye uwezo wa kuingiza watu 80,000 na kufanya Show ya hadhi ya Juu usiku wa kuamkia leo. Staa wa muziki kutoka Nchini Nigeria Rema, ameamua kumpa maua yake mapema Burna Boy kwa kumpongeza na kumsihi na kumuombea kwa Mungu aendelee kufanya makubwa na kuwashawishi vijana kufanya vitu vikubwa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live