Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rema aingia levo za Wizkid

Rema X Wizkid Rema aingia levo za Wizkid

Wed, 3 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Album ya mwimbaji REMA “Rave & Roses (ULTRA)” imefikisha hadhi ya GOLD kwenye soko la mauzo ya Album nchini Marekani, ambapo imetajwa kuuza nakala zaidi ya Laki 5.

Album ya mwimbaji REMA “Rave & Roses (ULTRA)” imefikisha hadhi ya GOLD kwenye soko la mauzo ya Album nchini Marekani, ambapo imetajwa kuuza nakala zaidi ya Laki 5. Album hiyo iliyotoka April 27, 2023 imetunukiwa Certificate na RIAA, Disemba 15 mwaka 2023 hivyo kuungana na Wizkid ambaye naye alifikia mafanikio hayo kupitia Album ya “Made in Lagos” na sasa zinakuwa Album mbili pekee za Afrobeats kufika hatua hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live