Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rekodi za Will Smith mauzo ya filamu balaa

Will Smith Rekodi za Will Smith mauzo ya filamu balaa

Thu, 30 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kwa mujibu wa takwimu, Will Smith ndiye muigizaji pekee ambaye filamu zake nane, kila moja zimevuna zaidi ya dola milioni 100 sawa na TZS bilioni 260 katika mapato ya filamu ndani ya Marekani mfululizo, tangu mwaka wa 1992 kupitia Box Office.

Takwimu za mapato ya @willsmith kutoka kwenye filamu zake;

Bad Boys: Bil. 367.7 Independence Day: Tril. 2.125 Men In Black: Tril. 1.532 Enemy Of The State: Bil. 651 Wild Wild West: Bil. 577.3 Men In Black 2: Tril. 1.146 Bad Boys 2: Bil. 710.6 I Robot: Bil. 918.1 Shark Tale: Bil. 973.9 Hitch: Bil. 966.2 The Pursuit of Happiness: Bil. 798.2 I Am Legend: Tril. 1.521 Hancock: Tril. 1.612 Men In Black 3: Tril. 1.700 Bad Boys For Life: Tril. 1.105 Aladdin: Tril. 4

Ni muigizaji pekee katika historia ya Hollywood kuwa na filamu 8 mfululizo zilizotengeneza zaidi ya dola milioni 100 kwenye box office.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live