Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rayvanny azoa tuzo 5

Ray Vanny Tuzo 5 Rayvanny azoa tuzo 5

Mon, 15 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

CEO wa Next Level Music Ray vanny ‘Chui’ baada ya kubeba tuzo 5 za East Africa Arts Entertainment Awards 2024 zilizofanyika Nairobi Kenya.

Tuzo hizo alizoshinda Rayvanny ni

Msanii bora wa kiume East Africa Album/EP Mwandishi bora Best lovers choice single Best Insipirational single

Wasanii wengine walioshinda tuzo hiyo ni @diamondplatnumz (OverAll hit maker artist of the year - Shuu, My Baby, Achii na Enjoy)

harmonize_tz- (OverAll Hit single of the Year-Single Again)

S2KizzyOfficial-(OverAll hit maker producer of the year)

JumaJux & @DiamondPlantumz -(Best Collaboration of the year - Enjoy).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live