Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rayvanny azoa Tuzo tano ndani ya usiku mmoja

Rayvanny Mdsx Rayvanny azoa Tuzo tano ndani ya usiku mmoja

Mon, 15 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kutoka nchini Kenya, mkali wa Muziki wa Bongofleva na CEO wa Next Level Music kutokea Tanzania Rayvanny usiku wa kuamkia leo amefanikiwa kushinda tuzo tano za East Africa Arts Entertainment Awards (EAEA).

Mastaa wengine kutoka Bongo waliobeba tuzo ni Harmonize’Single of the Year’, Diamond Platnumz’ Artist of the year’, S2kizzy’Producer of the year’ na Jux kupitia ngoma ya Enjoy aliofanya na Diamond’ Collabo of the year’.

Amebeba tuzo hizo katika kipengele cha;

1. Msanii Bora wa Kiume - East Africa.

2. Album/EP bora - East Africa

3. Mwandishi bora - East Africa

4. Best lovers’ choice single - East Africa

5. Best inspirational single - East Africa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live