Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rayvanny azidi kutikisa na kuvunja Records za Mauzo

Rayvanny Mm.jpeg Rayvanny azidi kutikisa na kuvunja Records za Mauzo

Sat, 9 Apr 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa kimataifa Rayvanny anaeiwakilisha Tanzania kwenye matamasha makubwa ya kimataifa kwa sasa.

Ameendelea kuonyesha nguvu yake kubwa ya kuuza muziki wake mtandaoni baada ya kufikisha streams million 100 kwenye mtandao wa boomplay.

Anakuwa msanii wa kwanza East Africa kufikisha idadi hiyo ya stream na kuingia Golden Club akiwa na kina WizKid na Davido.

Rayvanny aendelea kuprove kwamba unaweza kuuza muziki wako kwa mafanikio makubwa bila kufanya kiki za vijijini.

Namba hazidanganyi watu wengi umsikiliza wanaempenda.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live