Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rayvanny amjibu Harmonize 'Tetema inawaburuza'

Rayvanny Amjibu Harmonize 'Tetema Inawaburuza' Rayvanny amjibu Harmonize 'Tetema inawaburuza'

Tue, 9 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya Harmonize kutamba kuwa ameingiza wimbo wake Single Again kwenye orodha ya nyimbo zilizosikilizwa zaidi Spotify bila kushirikiana na mtu, Rayvanny amejitokeza kumjibu kuwa kwenye suala la takwimu, hakuna suala la kolabo wala solo artist labda kama msanii aimbe na bendi.

Baada ya Harmonize kutamba kuwa ameingiza wimbo wake Single Again kwenye orodha ya nyimbo zilizosikilizwa zaidi Spotify bila kushirikiana na mtu, Rayvanny amejitokeza kumjibu kuwa kwenye suala la takwimu, hakuna suala la kolabo wala solo artist labda kama msanii aimbe na bendi. Rayvanny ameadia kuwa, Tetema ndio wimbo namba moja kwa sasa kwenye Spotify na wengine wanafuata.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live