Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rayvanny alamba tuzo nyingine kubwa

VANNY BOY Rayvanny alamba tuzo nyingine kubwa

Fri, 22 Jul 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rayvanny au Chui; ni staa wa muziki wa Bongo Fleva ambaye siku chache baada ya kujitoa kwenye Lebo ya WCB, amelamba tuzo nyingine kubwa.

Rayvanny ambaye ndiye msanii pekee Tanzania mwenye Tuzo ya BET ametwaa Tuzo ya African Best Artist (Msanii Bora Afrika) 2022 kupitia ngoma yake ya Mama Tetema aliomshirikisha Maluma wa Colombia.

Tuzo hizo zinakwenda kwa jina la HI PIPO Awards za nchini Uganda.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live