Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rayvanny akosoa Tuzo za Tanzania Music

Rayvanny DIAFA Rayvanny akosoa Tuzo za Tanzania Music

Fri, 7 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baadhi ya wasanii ambao wapo kwenye tuzo za TMA wamekuwa wakitoa maoni yao kuhusu vipengele vilivyotangazwa huku wakikosia baadhia ya maeneo.

CEO wa lebo ya Next Level Music, Rayvanny naye amekuwa na yake ya kusema.

Kupitia Insta Story ameandika kuwa; “Ni kweli wasanii wanajivunia TMA wanasapoti muziki lakini hiki kilichotangazwa sio kile walichokuwa wanakitegemea."

Ikumbukwe kuwa BASATA wameeleza kuwa wasanii wote wanaoonekana kwenye tuzo zile walijisajili wenyewe na kiandika taarifa zao wenyewe.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live