Kama upo bize sana acha Tanzania Web ikusogezee ubuyu huu! Ishu ni kwamba, kuanzia jana usiku, Rayvanny na Paula, wanatukanana kinoma mtandaoni.
Paula alinza kulalamika kuwa anajutia mwanaume huyo kumtoa usichana wake, lakini Rayvnanny alijibu mapigo kwa kusema, kilichomfanya aachana na binti huyo ni kitendo cha kutembea na msanii ambaye wanaheshimiana ambaye inatajwa kuwa ni Diamond.
Paula hakutulia, naye amejibu kwa kukataa kuwa hakuwahi kwenda kwa huyo msanii. Na kumhoji kuwa alimpeleka yeye?
"Ulinipeleka kwa huyo brother wako? Una ushahidi? Aacha kunichafua inatosha please." alisema Paula.
Mtandange huo wote umejiri kwenye Instastory zao. Huyu akiandika huyu anajibu, usiku wa kuamkia leo Mei 23, 2023 ilikuwa ni motomoto kweli.