Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rayvanny, Otile kukutana Kenya

Rayvanny, Otile Kukutana Kenya Rayvanny, Otile kukutana Kenya

Thu, 16 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mastaa wa Muziki Rayvanny na Otile Brown wanatarajiwa kukutana katika Stage moja Nchini Kenya kwenye Tamasha la Zii Jam mnamo tarehe 9, Desemba katika Mombasa Sports Club.

Mastaa wa Muziki Rayvanny na Otile Brown wanatarajiwa kukutana katika Stage moja Nchini Kenya kwenye Tamasha la Zii Jam mnamo tarehe 9, Desemba katika Mombasa Sports Club. Tukio hili la kusisimua linaandaliwa na Ziiki Media, kampuni kubwa zaidi ya usambazaji wa muziki Afrika Mashariki, na kuahidi kuwa jioni isiyoweza kusahaulika ya maonyesho ya kusisimua ambayo yataacha alama ya kudumu katika anga ya muziki wa Afrika Mashariki.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live