Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rayvanny: Muziki ni wa ajabu sana

Rayvanny Tequ Rayvanny

Mon, 5 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa muziki nchini, mwimbaji @rayvanny akiri muziki ni kitu cha ajabu sana kwani wimbo wake "Chuchumaa" alioutoa miaka mitatu iliyopita kwa sasa ndio una trend sehemu tofauti tofauti Duniani.

Akibainisha hilo kupitia ukurasa wake wa Twitter, @rayvanny ama Chui ameahidi kufanya tolea jipya la wimbo huo. Je aimbe na nani⁉️ ameuliza Rayvanny...

Itakumbukwa, wimbo #Chuchumaa ulitoka rasmi Oktoba 5, mwaka 2019 @rayvanny akiwa chini ya uongozi wake wa awali, lebo ya 'WCB' na ulitayarishwa na producer @gachib.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live