Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rayvanny, Iyanya kufanya bonge la kolabo

Rayvanny Iyanya Rayvanny, Iyanya kufanya bonge la kolabo

Tue, 23 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kutoka +255 Tanzania hadi +234 Nigeria tunategemea ngoma kali kutoka kwa msanii Rayvanny ambaye ameachia kionjo cha wimbo mpya uitwao "ZAZA ZELA" aliomshirikisha Msanii Iyanya kutoka Nigeria.

Kionjo hicho kimeachiwa na Rayvanny kupitia ukurasa wake wa TikTok, na Wawili hao walikutana wiki kadhaa nchini Uingereza.

Hii sio kolabo ya kwanza ya lyanya kufanya na msanii wa Tanzania, ambapo miaka tisa iliyopita alifanya kazi na Diamond Platnumz, pia amehusika katika Remix ya Wimbo Huku wa Tommy Flavour na Ali Kiba ulioachiwa mwezi mmoja uliopita.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live