Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Raya wa Barnaba ataka tumbo la Yammi

Raya The Boss  Raya The Boss.

Mon, 6 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mke wa Barnaba, Raya Alistar Sykes 'Raya The Boss' amesema ataenda gym hadi naye awe na tumbo kama la Yammi ambalo limemchanganya mume wake.

Mke wa Barnaba, Raya Alistar Sykes 'Raya The Boss' amesema ataenda gym hadi naye awe na tumbo kama la Yammi ambalo limemchanganya mume wake. "Naombeni mnitagie trainer wote Tanzania hapa nataka kwenda kutafuta hiyo flat tummy ilimzuzua huyo mwafulani," ameandika Raya.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live