Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Raqey aachia waraka kwa wapiga picha ‘naona aibu kuitwa mpiga picha’

1732 13413775 10153759079078123 3946539855378734592 N TZW

Mon, 22 Jan 2018 Chanzo: bongo5.com

Mpiga picha maarufu nchini Tanzania, Raqey Allaraqya kutoka I View Studios amefunguka kwa kudai kwamba kuna wapiga picha kutoka mtaani wameivamia tasnia hiyo.

Raqey ameanda taarifa hii…

I was thinking of where to start writing this note; i think things are way out of hands, it seems like no one is there to talk about it. people are afraid because of some stupid people in the industry who sit aside and talk some shit about others just because they are intimidated.

Im not here to talk about stupid childish argument you have with each other im here to talk about how photography is being depreciated.

Who is to blame for this???guess what……. it is you!!!!! Wacha tuu niandike kiswahili hakuna kupamba hapa im so pissed.

Yaani photography umeharibika to a point hata unaona aibu kuitwa mpiga picha, when i started after i graduated i was afraid to call myself a photographer i felt like i had to work hard and present my work more before i call myself mpiga picha.

Sasa siku hizi auntie akitoka tuu dubai akileta camera basi nishakuwa mpiga picha. Ndugu zangu niliongea hili muda mrefu sana mkaniona mjinga blah blah wengine wakajifananisha na mimi and being on top of the game.

Well look at the industry now i found some stupid people at some places fucking taking picture being treated like dumbs and loosers i felt so bad as one of us being treated like shit;

Tumefika mahali tunarudi kule kwa photo me kesho na sisi tutaweka picha chini baada ya events tuuze 500 each photo kwa ajili tuu ya njaa za kijinga na wivu.

PHOTOGRAPHY IS AN ART not selling some senene damn it. Akili za kimaandazi kabisa clients take you as stupid cheap group of people who ignite flashlights and eat their food at the events.

Being reasonable cost wise is an OK factor thats the heart of competition who does not know that??

But instead of being a photographer you are becoming are ASS KISSER well you are nothing but an ASSHOLE.

Ikiwa unajidhalilisha to a point unaenda kwenye harusi kushoot halafu unaonekana like a piss of shit hell no ndugu zangu mmefika mbali mno.

Na hii ndio sababu mnakuwa treated so cheap to a point you have no VALUE any more; at the end mnagombana wenyewe kwa wenyewe na kulalamika pembeni.

Client can can choose who ever they want to work with at any cost that they can afford. Perhaps budget utakuta ni shilingi 3.500.000 kwa ujinga wenu mnadhalilishana kugombea kazi kutoka 3.500.000 mpaka 600.000 sasa mnaishije wapiga picha 3 kwa 600.000? Mwisho wa yote majungu ugomvi utasikia jamaa pesa yote anachukua yeye sisi anatulipa buku 40 tuu.

i made a lot of effort kwenye industry from commercial photography, studio photography, wedding photography/videography, bongo movie, bongo flava etc.

I took the initiative to move the industry to where you all found it ,where you make money and call each other wapiga picha.

It is the time to fix this shit.

Do not miss quote me mtu yoyote anaweza kununua camera na kupiga picha ila sio kila mtu ni mpiga picha. Wengine tubaki tuu ku like na ku comment kwenye social media.

Hate me or love me i dont give a shit this industry need someone to straighten things up; if it is not you then it is me. . . Haya kaeni kwenye magroup sasa mpige domo.

Chanzo: bongo5.com