Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rapa wa Nigeria Oladips afariki akiwa na umri wa miaka 28

Rapa Wa Nigeria Oladips Afariki Akiwa Na Umri Wa Miaka 28 Rapa wa Nigeria Oladips afariki akiwa na umri wa miaka 28

Wed, 15 Nov 2023 Chanzo: Bbc

Rapa maarufu wa Nigeria Oladipupo Oladimeji, almaarufu Oladips, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka.

"Bado tunashtuka tunapozungumza,"wasimamizi wake walisema kwenye chapisho la Instagram.

Hawakutoa sababu ya kifo chake, lakini chapisho hilo lilisema kwamba rapa huyo kwa zaidi ya miaka miwili "ameweka vita vyake ndani yake mwenyewe".

Taarifa hiyo ilihimiza umma kuheshimu faragha ya familia yake, na kusema kwamba maelezo ya mazishi yatatangazwa baadaye.

Chanzo: Bbc