Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rapa Young Thug akosa dhamana

Rapa Young Thug Rapa Young Thug

Sun, 23 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rapa Young Thug ataendelea kubaki nyuma ya nondo, juzi amenyimwa dhamana tena ikiwa ni mara ya Nne kwenye Kesi ya makosa ya uhalifu, mauaji, kumiliki silaha ikiwa ni machache kati ya mengi ambayo yanamkabili yeye pamoja na label yake, YSL.

Rapa Young Thug ataendelea kubaki nyuma ya nondo, juzi amenyimwa dhamana tena ikiwa ni mara ya Nne kwenye Kesi ya makosa ya uhalifu, mauaji, kumiliki silaha ikiwa ni machache kati ya mengi ambayo yanamkabili yeye pamoja na label yake, YSL. Thug amekuwa Jela kwa takribani mwaka mmoja sasa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live