Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rapa Wakazi anusurika kifo

WAKAZI AJALI TZ Rapa Wakazi

Fri, 23 Sep 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki wa Hip Hop nchini Webiro Noel Wassira maarufu kama Wakazi amesema amenusurika Kifo baada ya kupata ajali mbaya ya gari.

Rapa huyo kwa sasa yupo nchini Marekani ambapo kupitia taarifa yake ambayo ameichapisha kwenye Mtandao wa Instagram ameandika:

REAL LIFE “FINAL DESTINATION” (AJALI)

Nashukuru kwa upendeleo wa kupata nafasi nyingine ya Maisha, baada ya kunusurika na ajali mbaya. Ilikuwa inatisha na worse could have happened. I’m okay guys, thankful and just reflecting & re-purposing, baada ya issue hii.

Lorry (truck) la mizigo lilikuwa na Trailer (ki-kontena), ambacho kilikatika na kusimama katikati ya barabara kubwa (Freeway) ambapo magari huenda kwa kasi (I was driving at 65 mph). Mimi pamoja na magari mengine tulijitahidi kulikwepa bila ya mafanikio.

Ku avoid head on collision niliyomba upande wa kulia (maana kushoto ningevagaa magari ya kasi zaidi) ila bado sikuweza kuponea chupu chupu. Mwenye Lorry hakusimama (kakimbia) na jumla magari matano (5) including mine, got hit.

Thanks to first responders, fellow drivers & bystanders who rushed to help ingwa it was so risky maana magari yalikuwa nayakuja kasi bado pasipo kujua wala kutegemea incident mbele.

It was like im in a “Final Destination”movie, jinsi ilivyotokea, na kiukweli bila rehema za Mungu na fast thinking na reflexes, mngekuwa mnakula ubwabwa Stakishari Ukonga sasa hivi. ????????

Yote kheri, tushukuru!!

Chanzo: www.tanzaniaweb.live