Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rapa Travis kurudi shule

Rapa Travis Kurudi Shule Rapa Travis kurudi shule

Thu, 16 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rapa’ kutoka nchini Marekani Travis Scott ameweka wazi kuwa anataka kurudi shule.

Kufuatia mahojiano yake na #GQ, #Travis ameeleza kuwa alitumia njia za mkato kupata mafanikio hivyo kwa sasa anaona ni wakati sahihi wa yeye kurudi shule ambapo ameweka wazi kuwa ameshaanza kufuatilia ratiba ya masomo itakayo mfaa katika Chuo Kikuu cha #Harvard.

Aidha #Travis amedai kuwa endapo atafanikiwa kupata nafasi katika chuo hicho basi atasomea ‘kozi’ ya usanifu majengo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live